Yule Mlimbwende wetu, CCM imemchosha hatamaniki. Kwani wanawafanya nini?

Balaa
 
kachukue picha zari za akiwa na diamond na sasa, mtafute na hamisa mobeto , muangalie kajala mkuu, unaemtetea kwa sasa anazidiwa hata na lady jay dee, feel shame mkuu kuna mambo hayaelezeki
Kwamba zile filter na face touch za Zarina kuna uhalisia pale mkuu, acha mambo yako. Kwamba Jaydee yupo 40s anaweza kuwa kijana ki muonekano kuliko Jokate?

Sikatai mtu anaweza kuwa mzee na sura ya kitoto coz tunatofautiana mengi ila kwa hawa wanawake wanachoka haraka.
 
Huyu sista nilikutana nae Mlimani City Conference, ni mwana kinoma.
 
Nimesoma comments nimechoooka, ndio maana hawa wasanii hawapendi kupigwa picha na hivyo vi infinix vyenu wanakimbia masimango kama haya, yaan picha moja tu watu mapovu yamewatoka hadi wanataka kulia sijui dada angu this, dada angu that, mwengine anamfananisha na Zari masurgery lol, Jokate nimemuona mwezi ulopita yuko vizuri sana kwa umri wake wa sasa, anavutia, ananukia, mcheshi hana baya.
 
Dadako mwenye miaka 39 yupo kama Mobetto?
 
zari ana 45 plus mbona bado analipa huyu na hela zotemwili umegoma
 
mkuu kubali basi mtu wenu kachoka unalqzimisha nini, yani zari umlinganishe na jokate kwa hiyo wewe unaamini jokate ametoka kwake kwenda kwenye jambo la kijamii tena la kurushwa duniani bila make up? acha basi mkuu unaheshimika sana we ni born town
 
we ni mgeni hapa mjini, umemjua jokate lini, mtu ambaye alikua anashinda club na wakina mond kula bata tena msanii wa mziki we unauliza mambo ya surgery kwazari tu zile safari za jokate miaka hiyo unazichukuliaje? kipindi hawa wana hit gigy money alikua hajajuahata kuoga zari mwenyewe hakuwa maarufu, mobeto watu hawamjui we unasema nini huyo dem .muome hivohivo hao ndo walikua wajanja miaka hiyo ni juzi tu huyu akiwadc alikua anamuwinda fredy vunja bei unajua nini wewe unatetea nini sasa unamaana si hatumjui au
 
Kwanini unamwonea wivu mwanamke mwenzio?
nimekuona mbumbumbu huna unalojua kumilik kasimu kuingia net nawe usha ujua mji, nilitaka nikueleweshe we mshamba huyo ni singo maza anaa mtoto mmoja si wawili ka unavo sema usimuongelee mtu humjui sawa akili sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…