Sasa tutaamini vip kama hutaki kuweka picha ni bora kunyamaza kuliko kukebehi mtu ambae muonekano wake pengine uko vizuri kuliko wasichana wengisiwezi weka picha ya mtu bila idhini na humu tunaishi kwa machale umri wako upoje kwa hili wazo lako, zari ana umri gani? mbona muonekano wake upo vizuri, ucpende kutetea ovyo utaaibika
Hebu kunywa maziwa utoe sumu kali uliyonayo mwilini, ni hiyo hiyo picha au una mengine personal na Jojo maana sio kwa kujimaliza huko🤣🤣🤣we ni mgeni hapa mjini, umemjua jokate lini, mtu ambaye alikua anashinda club na wakina mond kula bata tena msanii wa mziki we unauliza mambo ya surgery kwazari tu zile safari za jokate miaka hiyo unazichukuliaje? kipindi hawa wana hit gigy money alikua hajajuahata kuoga zari mwenyewe hakuwa maarufu, mobeto watu hawamjui we unasema nini huyo dem .muome hivohivo hao ndo walikua wajanja miaka hiyo ni juzi tu huyu akiwadc alikua anamuwinda fredy vunja bei unajua nini wewe unatetea nini sasa unamaana si hatumjui au
Wapo wengi sana kwa 38 ni kama mabinti wa 28 - 32, unless hutembei.Weka picha basi tuhakikishe sasa hivi kama wakisimama na jokate anaweza kufikia hata nusu ya muonekano jokate alionao.
Wanawake wanaoweza kumaintain m muonekano huo wa jokate kwa umri wa miaka 38 na kuendelea ni wakuhesabika tanzania hii .
Achana nae huyo, Zali kamuacha mbali Jokate. Na sio Zali tu mifano iko mingi ila sio vyema kuitolea humu. Hata Wolper, Uwoya still wana muonekano safi nao wamezaa pia.siwezi weka picha ya mtu bila idhini na humu tunaishi kwa machale umri wako upoje kwa hili wazo lako, zari ana umri gani? mbona muonekano wake upo vizuri, ucpende kutetea ovyo utaaibika
Hivi Makongoro nayo yanachakaza wanawake?Hapo linawaza kula kitimoto na ndizi tu au makongoro.
Flaviana sio SI Unit ya ukuaji wa mwanamke. Hata wewe kuna watu uliosoma nao mpo umri mmoja lakini umezeeka kwao.mbonaflaviana matata hazeeki?
Mobeto kila mwaka ana miaka 26mbona humzungumzii hamisaa mobeto si walikua rika sqwa
Hamisa kazaliwa 1990 na Jokate kazaliwa 1987.mbona humzungumzii hamisaa mobeto si walikua rika sqwa
Jamaa anaumia sana kuhusu Jokate. Roho inamuuma mnoHebu kunywa maziwa utoe sumu kali uliyonayo mwilini, ni hiyo hiyo picha au una mengine personal na Jojo maana sio kwa kujimaliza huko🤣🤣🤣
huna picha ya lady jay dee, si ni mfano naye nimemtolea auSasa tutaamini vip kama hutaki kuweka picha ni bora kunyamaza kuliko kukebehi mtu ambae muonekano wake pengine uko vizuri kuliko wasichana wengi
nakuelewesha mkuu mambo ya surgery umeyajua leo umenishangaza sanaHebu kunywa maziwa utoe sumu kali uliyonayo mwilini, ni hiyo hiyo picha au una mengine personal na Jojo maana sio kwa kujimaliza huko🤣🤣🤣
sawa chawa kunywa boflo na maji kihongosi anakija kulipaJamaa anaumia sana kuhusu Jokate. Roho inamuuma mno
Hili kweli ni futuza! Hata haiwezi kupumua vizuri! Sasa hivi Jokate ni mboga yetu wazee!Mimi nimeliangalia hilo futuza hapo pembeni yake😂View attachment 3492647
Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.
Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?
Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.
Future alishaipataKila jambo duniani lina wakati wake.
Nyakati zinapita, umri hauwezi kusonga nawe ukabaki na muonekano ule ule, fikra zile zile.
Kwa sasa yupo katika majira ya uongozi na mama mtoto/watoto.
Umri alionao kwasasa si wa kupambania muonekano, ni umri wa kupambania future yake na watoto wake.
Ya kwake tayari, anapambania ya watoto wake.Future alishaipata