Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

Chris brown story yake inasikitisha kutokana na domestic violence kumpiga rihanna kapotezwa mazima yaan sasaivi ana net worth ya 50smdollar but rihanna 1.somesthing billion US DOLLAR and because of JAY Z jamaa alimpga because of her cheating on him so sad to breezy dancer selena gomez alimuonyesha chuki za wazi kwenye tuzo dahhh
 
Dah acha t jamaa dah so sad! Wamemtenga
 
Summer Too Hot imekuwa nominated grammy
F-losSJWwAAePoQ.jpg

Chris brown story yake inasikitisha kutokana na domestic violence kumpiga rihanna kapotezwa mazima yaan sasaivi ana net worth ya 50smdollar but rihanna 1.somesthing billion US DOLLAR and because of JAY Z jamaa alimpga because of her cheating on him so sad to breezy dancer selena gomez alimuonyesha chuki za wazi kwenye tuzo dahhh
Mkuu au ulikua unaandika simu inakuunguza mikono😁

Umeandika yani kama kuku anapitamo kutafuta chochote kitu

Nothing personal mkuu
 
Indigo[emoji119]

Mule kuna mawe mengi ile heat, overtime, trouble waters, come together, indigo, under the influence, problem with you, undecided, you like that, lurkin, No Guidance aisee hayo mawe naya kubali hatari
Indigo ina mawe kinoma..

Nimeisikiliza tena leo kwa mara sijui ya 50+
 
Back
Top Bottom