Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Big up[emoji110]️. Shusha na ep.ya 5 kabisa
 
Binadamu Mtakatifu Nourhan Johnnie Walker njooni huku
 
Babako ni GENTAMYCINE
 
Jaman hii stor n kama imeyagusa maisha yangu vile ya utoton 😭 kumbe sikua pekeangu nilovyavyasika kingono utoton😭
ila naomb unitag ep y 5
I am really sorry ndugu yangu. Kuna watu wanapitia machungu mengi sana. Ila haya yote ya duniani yanapita jipe moyo mkuu. Natamani kuwa hili swali halijaharibu furaha yako ya leo. .

kumpenda mtu ambaye alifanyiwa hi I, still today I carry the pain in my heart. How I wish ningeweza badilisha maisha ya huyo dada but I truly can't. Uso wa Mungu unakuwa wapi wakati watu wake wanateseka 😔
 
Jaman hii stor n kama imeyagusa maisha yangu vile ya utoton 😭 kumbe sikua pekeangu nilovyavyasika kingono utoton😭
ila naomb unitag ep y 5
Ni wengi wamepitia huu ukatili.
Pole mkuu.
Jaribu kusahau maisha yasonge
 
Inauma yani alaf ukiangalia waliokufanyia n watu wako wa karibu yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…