Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

for sure sista [emoji1478]Tukimuabudu yeye hatumuongezei chochote, na tusipomwabudu hatumpunguzii chochote, YEYE ambaye hakuna Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ile YEYE, Yu hai na ni wa kudumu, halali wala kupatwa na usingizi. haelezeki kwa ukamilifu kwa sababu hata sisi tunaojarbu kumuelezea hatujakamilika, tunaelezea kwa kadiri ya imperfection zetu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini chanzo cha hela na kwanini isiwe kutaka kujua kama kuna namna yeyote nimeathirika vibaya kwa hiyo mitihani?
Tunataka kujua chanzo sababu kwenye heading kama sikosei ndio aliekupa maisha
 
Hii tag list yako ongeza jina langu
 
Nitamega vyote usijali mkuu.
Wewe dada malizia stori kuna mengi nimejifunza ambayo sikuyajua katika umri wangu huu,hasa namna ubakaji unvyoweza kuumiza mwili na saikolojia natamani kujua hatima ya wabakaji wale hasa mzee kipipa,huwezi amini nimesoma mstari kwa mstari stori nzima na nimeanza leo.
 
Kwanza ni mwandishi mzuri, msimulizi mzuri, stori tamu mno mno

Nilichokiona tu imekatishwa sana na najua ni uvivu tu ama unakata tamaa kuona wanasoma wachache. Kwa hili utuwie radhi.

Ila tunasoma wengi, na unavyokawiza ndio watu wanakawia kujaa. Huwezi amini mimi nimeiona since day one ila huwa sisomi stori kipande kipande naboreka kusubiri so huwa nangoja ijae episodes kwanza.

Sasa hapa utaona jinsi ulivyochelewa ndio nimechelewa kusoma[emoji28][emoji28]tangu april nimesoma leo.

Keep it up, ukinirihusu n'taomba nije Pm
 
Ulipomtaja TU Baba yako nikamkumbuka mshanar Jr!sijui kwanini!?

"Ilikua ya mama mkwe"!! Nahisi kinyaa kinachotokana na ladha ya chumvi mdomoni!!!
 
Kwa nini wanawake ni wanyanyasaji sana wa watoto wasio wao au watu wanaoishi makwao ambao sio ndugu zao wa damu?
 
Kuna mafunzo mengi sana, bahati mbaya hujaweza kumalizia stori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…