Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Hongera kwa uandishi Mkuu, nimefurahi kusikia ni hadithi na sio kweli.

Maana nimekuwa balozi wa kupinga vitendo vya Ukatili kwa watoto wadogo.. ...Nyote mnajua watoto ni malaika na ni taifa la kesho. Ni muhimu tuwalinde na tuhakikishe wanakwenda shule.
 
Hongera sana kwa kuwa mtetezi wa watoto ila ukipata muda itembelee mbeya vijijini , tembelea mabaa mengi wahudumu wanakuwa na watoto either miaka minne kurudi chini au vichanga kwahiyo karaha na ujinga wote wa bar unawagusa direct hao watoto .

Elimu kwao ni duni ,jamii haioni kuwa sio sawa .
 


Doooh aisee yote haya tusome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…