Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Shukrani Mkuu!

Huko Mbeya mjini, ni maeneo yapi hasa yaliyoathorika na tabia hizo. Ningetamani kutembelea siku moja
Fika Mbeya mjini , elekea sehemu inaitwa Mbalizi hapo utashuka stendi inaitwa Tarafani , then hapo omba kuoneshwa stand ya Magari ya kwenda vijiji vya Umalila , tangulia kufika kijiji kinaitwa Isuto ukifika hapo guest utakayolala pata muda wa kwenda kuchangamana na watu bar , utayashuhudia haya.

Huko mtoto ananyweshwa bia kama mtu mzima , huko mtoto watu wapo kwenye vitu virefu yeye anatambaa chini akililia bia na spirit za wateja nao bila hiyana wanampa.

Jitahidi ufike mkuu , Elimu na ushauri wako unaweza kuwageuza .
 
Sawa Mkuu, nitajitahidi.

Serikali isipochukua hatua kudhibiti hali hiyo mapema itapelekea kupoteza nguvu kazi kutokana na mazingira hayo hatarishi
 
Naongea hivi nikiwa serikalini ila serikali ya kijiji na hawa watendaji wetu wa darasa la saba na askari kata wanaoletwa kisa adhabu za huko walikoharibu basi mimi nimepambana nimefeli labda akija mgeni watastuka na kuelewa ni nilikuwa naongea .

Kwa ukubwa ni kuwa dawati la jinsia hizi sehemu ni butu labda nguvu ya mtu binafsi au mashirika binafsi yanaweza kubadili thinking capacity ys jamii hii
 
Poa dogo , najua nakuzidi 2 yrs still ni jobless kazi kubwa ni kula mbususu za wadada kama wewe hata under age 18 nakula , just live your life sie wengine elimu ndo imetufikisha hapa jameni degree hizi mhhh
 
Back
Top Bottom