Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Ndio maana niliomba samale mapema πŸ˜‚
NIlijua tu πŸ˜‚ ngoja nikusamale
Unyanyasaji kutoka kwa mama wa kambo
Alibakwa na mjomba wake
Aliliwa kimasikhara na tajiri kipipa kisa wali (njaa)
Ana roho ngumu kwa wanaume anaweza kata na kuchemsha dushe na kunywa supu yake.
Ni mcha Mungu
Itaendelea
 
Duuh yote haya kapitia mtu mmoja?
Aisee kama ni kweli basi Mungu ampe nguvu.

ikiendelea pls unaikumbukaπŸ˜‚
 
Shukrani Mkuu!

Huko Mbeya mjini, ni maeneo yapi hasa yaliyoathirika na tabia hizo. Ningetamani kutembelea siku moja
 
Nasubiria kipande kitakachotuelezea mafaniko yako uliyoanza nayo. Hustling ulizopiga πŸ‘Š
Passport 6 sio mchezo. Kuna mafogo huku nje wana 1 na hazina mihuri mingi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo baba wa Clepotina siyo Pascal Mayalla kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…