Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Alikua ana bakwa na mjomba wake,

Shangazi yake alikua nampiga sana amkisemea mjomba wake,

Alikua anateswa na Mama yake wa kambo,

Jirani yao Mzee mtu mzima akambaka na kumtishia akisema atamuua mama yake,

Alikua kikojozi pia.

[emoji3][emoji3][emoji3] et alikua wat?? Nimecheka apo โ€œ alikua kikojozi piaโ€
 
Ngoja niwah siti hapa chonde chonde story iishe bi Dada, kuna miwatu mingine humu imeshindwa kumalizia story zao na kukimbia Uzi, all the best katika uandishi
 
Napenda sana waandishi kama nyie. Usisahau kunitag
 
nampongeza atakayesoma huu upupu.
 
Ass
Kumbe umepitia ukatili hivi ukiwa bado mdogo kabisa halafu upo busy kuwasema Mashoga waliopitia ukatili kama wako!
Nashindwa cha kuongeza zaidi ya kutoa pole nzito kwako, chronic trauma ni mbaya sana lazima uwe bitter.
Im not bita mkuu.
Asante kwa mchango na pole๐Ÿ™
 
Unaandika vizuri tu usijali...

La hasha kama wataka kuandika vizuri zaidi, ongeza matumizi ya tamathali za semi...
Asante mkuu.๐Ÿ™
Mwanzo mgumu.
Nitafuata ushaur wakk
 
asante mkuu๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ