Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyosema kulipik supu bila chumvi mwili ukasisimka sana, nikaogopa halafu na vile mimi ni super villain but scared. My feeling exactly 👇Ilikua kabla ya wokovu mkuu
Ukitaka usisiwaudhi hadhira wako nenda bampa to bampaVitaendelea mkuu ila sio leo.
umenichekesha mkuu,😂Ili unile nyama vizuri😬😬😬😬
View attachment 2597358
Nisamehe mdogo wangu tutayaongea nyumbani😂Kwan dada leo hurud home had uniulize hv vitu mbele za watu?
Malkia wangu wa Sheba, Africa Beauty 🙃 aaha wap bado naogopa kukatwa dushe utaingia choo kipi😱umenichekesha mkuu,😂
Acha woga
😘😘😘😘😘😘Now this is my sis😍
Aina hii ya maisha hasa yanayohusu mashangazi,achaa kabsa,watoto watakaa na shangazi zao labda nikiwa hoi au dharula nyingine,ila niliyopitia acha kabsa[emoji24].Hopefully nimekukumbusha mazuri.
Maneno yatakuja InshAllah,[emoji120]
Una roho nzuri weweDah, hiyo episode 1 imenihuzunisha sana, najiskia vibaya!
Nizoom tu si ni bure 😅Naku zoom tu broda😂
Hiv da Joannah ina maana saa ya kusulubiwa inapofika hata ndugu zako wanakukana na kukaa mbali nawe kama Petro alivyomkana Yesu.😂?
😂🤣 wenyewe mnaona ile ya njombe na arusha ni yakitotoChezea baridi la Daslam wewe🤣