Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 iyo mbona ishu ndogo sana kwanguNamjua aposto msela ake mzee Dingi ila mama aposto itabid uning'ate sikio
Ntakuambia ngoja nipunguze sautimama aposto ni nani broda
Hii ni story tuu, ni fiction. Mimi ni Baba Cleopatra sio Baba Clepatina!.Huyo baba wa Clepotina siyo Pascal Mayalla kweli?
Shukran nimekujaStory nzuri sana hongera.
Nangoja muendelezo
Njooni huku Gily Antonnia Dejane Shunie Kalpana Bantu Lady Aaliyyah Mzee wa kupambania Uchira 1 Watu8 Nuzulati Depal Lenie Chakorii Leejay49 Johnnie Walker mshamba_hachekwi
Umekuja kufanya nini?Shukran nimekuja
Mbona ya pili siion jamniNIlijua tu 😂 ngoja nikusamale
Unyanyasaji kutoka kwa mama wa kambo
Alibakwa na mjomba wake
Aliliwa kimasikhara na tajiri kipipa kisa wali (njaa)
Ana roho ngumu kwa wanaume anaweza kata na kuchemsha dushe na kunywa supu yake.
Ni mcha Mungu
Itaendelea
Kusonga ugali😀Umekuja kufanya nini?
Utakuwa mchawi wewe. Unasonga ugali usiku huu wa manane? Mna kikao na wanga wenzako?Kusonga ugali😀
🤣🙌
ShukranHuyo ulom quote ni dada yangu
Asante dear [emoji120]
Sijakopi