Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Mi nna tecno tu mkuu na camera ya 360 kupiga picha za kuwateka watoto wa facebookNa wewe una ng'ombe wangap?
Vijana tunataka vitu vizuri kiurahisi tu uibuke Leo maskini kesho tajiri. In short vijana wa leo hawataki matesoHuyo mshua ukute ameanza kuhustle miaka ya 1980 huko...kizazi hiki hakina subira!.hongera zake kwakweli
Amesema ameanza kuchimba 2000, lakini bado ni mwamba, kuchimba madini ni kama pata potea.. ni kama vile kubet, kuna siku tu zali linakudondokeaHuyo mshua ukute ameanza kuhustle miaka ya 1980 huko...kizazi hiki hakina subira!.hongera zake kwakweli
Umegundua nini wewe mkuu!?Huyu ana hela sana na mi mtu mwenye akili nyingi.... angalia hii clip utagundua kitu.
Shida iko hapo...utandawazi..lolVijana tunataka vitu vizuri kiurahisi tu uibuke Leo maskini kesho tajiri. In short vijana wa leo hawataki mateso
Shida vijana tunaishi life la mashindano na kuangalia mwenzako ana nini, so unakuta hapo wengi hawana subira wanataka matokeo ya harak.. Ndo mana unakuta vijana wengi wametekwa na hizi scheme za get rich quickly kama kubet na mambo ya forever living sijui niniVijana tunataka vitu vizuri kiurahisi tu uibuke Leo maskini kesho tajiri. In short vijana wa leo hawataki mateso
Ni mtu asiye na papara na hela na anaufaham mzuri tuu wa maisha kuliko watu wanavyomchukulia wakidhani hajui chochoteUmegundua nini wewe mkuu!?
Ila jamaaa lazima awe na akili, ana wake wanne na watoto 30, kwa hali ya kawaida ukishakuwa na team kama hiyo lazima akili uiweke sawa vinginevyo unachezea za ugokoHuyu ana hela sana na mi mtu mwenye akili nyingi.... angalia hii clip utagundua kitu.
Hela ameishaizoea..Ni mtu asiye na papara na hela na anaufaham mzuri tuu wa maisha kuliko watu wanavyomchukulia wakidhani hajui chochote
Kuna saa unahisi kusoma sana ni kupoteza mda... sometimeTuanaambiwa kuwa kabla ya dhari hili, alishapata kilo zaidi ya 100.,na serikali kuambulia zaidi ya 600 M.