Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Kwa watoto wa mjini hivyo vitu vya kawaida sana, hata ukitaka mhuri wa nyumba nyeupe na saini ya mwenye nyumba hapo samora unapata chap tu....kifupi hao watu wana ulimwengu wao na serikali zao incopy ya serikali zote zilizopo madarakani duniani...
 
Nashangaa watoto humu wanashangaa

Ova
 
hahahahaha umenichekesha sana, umenikumbusha vijana wa Kiromania pale Bucharest au Sofia Bulgaria.....Nigerians hapo bado chekechea sana..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1431]
Nawajua hao jamaa ni balaa yaani Umafia, kwa kufoji ndio wenyewe ukienda kwenye utakatishaji wamo, prostitution huwaambii kitu

Sasa uwatapeli Mateso yao sio ya dunia hii
Wanaijeria wao ni utapeli wa mtandaoni na kutengeneza passports tu na kuwaibia watu kwa kujifanya wanawake ila Hawa jamaa wa huku Ulaya nimewavulia kofia
 
Safi sana,ameupiga mwingi kama pro!!
Kwa hayo madocument,lazima amewahi kuwa mtumishi wa serikali katika moja ya hivyo vitengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…