Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

huyu mwamba ukiwaza karibu unaweza mjaji mabaya,ila ukiwaza kwa upana mwamba ni bingwa na anatumia akili Sana,asilimia 75 documents za serikal anazo,,kesi iwekwe wazi ili movie ziandaliw e tujue wap palikuwa anavuja na tujifunze
 
Mtu anamiliki vitu vyote hivyo alafu taarifa inasema anajifanya?

Hapana huyu itakuwa kweli ni mtumishi wa idara hiyo! Kabisa
Huyu itakua kastukiwa maeneo flani wana mu exit kwa kumkana kiivo,,
Ila huyu mwenyew kbsa,
Ivo vit ukivipitia t kichwa kinauma..
 
Kwa akili zangu naweza sema jamaa ni EAGLE pure tu ila probably ka mess up somewhere then kawa framed..An average person u cant posses all the mentioned stuffs.

Wanzanzibar hasa waunguja wana sifa ya kufanya vyema sana kwenye hiki kitengo according to hearsays
Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed

Published: February 27, 1982



Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers aboard on a domestic flight Friday. They reportedly killed two hostages and forced the pilot to fly to Kenya and Saudi Arabia.

The Tanzanian Airlines Boeing 737 took off from Jidda early today after refueling and was reported heading for Rome. In Jidda, the hijackers said they were members of the Revolutionary Youth Movement of Tanzania and demanded President Nyerere's resignation, an airport spokesman said.

Foreign Minister Robert Ouko of Kenya said the hijackers had released three women and two children at the Nairobi airport. Mr. Ouko said the hijackers told him that they killed two of the people on the plane. The bodies were still aboard when the jetliner left Nairobi, Kenyan officials said.

It was not clear how many hijackers there were or what weapons they had.

Hijackers: (Leader) Mousa Memba died in 1992 while in jail in Dar es Salaam.

Yasim Memba (brother to Mousa): is a CCM stalwart, in Kawe, Dar es Salaam.

Habari zaidi, soma
1) Wakili Yassin Membar afariki dunia. Alishiriki kuiteka ndege ya Tanzania 1982 akishinikiza Rais Nyerere ajiuzulu - JamiiForums
2) Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983 - JamiiForums
 
Tapeli sugu,nimezoea wale matapeli wa mijini,pamba sanaa halafu wana vitambi flani hivi vya bia,huyu yeye anaonekana ana tumbo mbonyeo,ila anaonesha ni hatari sana...
 
Back
Top Bottom