The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Mwamba ni Usalama huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IQ haihusiani na shule mtu mwenye akili ana ana akili tuNa inavyosemekana jamaa hata form iv hakufika
Hamna kitu kinaitwa mashati ya usalama.
Mkuu hujawahi pigwa pinguMimi siyo mhalifu, ndugu.Wala sijui. Asante.
Hizo kadi waliokuwa kwenye system wanapewa za kazi gani ?Huyu Wao 100% hata kama Ni Feki hivyo Vitu. Wewe unawezaje Ku fake Kadi za Marais wa Nchi kama Hujawahi Kuziona Au Kupewa kwenye System humo humo
Kwani ww huwezi jua Kitambulisho cha Boss wakoHizo kadi waliokuwa kwenye system wanapewa za kazi gani ?
Hivyo vitambulisho waliokuwa kwenye system wanapewa vya kazo gani ?
Mi nawatafuta sana hawa watoto wa Eastern Europe tuje tufanye kweli huku jamhuri ya wazalendo 😬
Tofautisha kati ya kujua na kuchukua.Kwani ww huwezi jua Kitambulisho cha Boss wako
Hapo ndipo swali lilipo.Swali la msingi: Hizo documents anazituamiaje? Mfano kadi ya gari la Shein anaitumia kufanikisha nini?
[emoji1787][emoji1787]yupo full hapo hata ukitaka kuiona Talaka ya Malikia Elizabeth yeye anayo [emoji1787]
Swali la msingi: Hizo documents anazituamiaje? Mfano kadi ya gari la Shein anaitumia kufanikisha nini?
Vibaya mnoDah mwamba yuko very professional
Hahahahayupo full hapo hata ukitaka kuiona Talaka ya Malikia Elizabeth yeye anayo [emoji1787]
Mwamba yupo kazini. Amepita kwenye ugumu!!!😄Dah mwamba yuko very professional
HatariMwamba yupo kazini. Amepita kwenye ugumu!!!😄
Alijipanga.
Ila ni kama alishaanza kuchanganyikiwa, too much documents