TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #61
Aliyewahi itikisa Dunia kikweli ni HitlerHabari wadau!
Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?
Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k?
Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu alikuwa Mungu mtu maana kuna story nilisikia kuna watu walikuwa mashuhuri mpk wakawa wanaabudiwa?
Covid 19Woooooote wapite lakini CORONA baba lao.
Chenga wee😂😂😂mpaka sasa kwa kura zilizopigwa
mshindi wetu ni..... see more
👊👊👊👊Chenga wee😂😂😂
Kwakweli huu mpambano ni mkali sana.nimeanza kuhesabu kura muda mrefu sana.imechukua muda mrefu sana ila mpaka sasa kwa kura zilizopigwa
mshindi wetu ni... see more
Bin LadenKila mtu na Fani yake. Watu wa muziki watasema wao, Kikapu watamtaja wao, Singeli watamtaja wao...
Ila Newton na Einstein vile vichwa shikamoo.
Kila mtu na mtazamo wake siamini kama jigga anaweza mzidi slim shedyEminem hapo nakataa bora Jay-Z
Brian DeaconBryan Dickson, a.k.a (Actor waYesu anae ishi)
Hiv ilikuwajekuwaje wakaanza kumuita jiwe?Kwa Tanzania jiwe anaabudiwa kuliko mungu
Cleopatra wa MisriAfrica inaonyesha tumelala sana hatukuwa hata na watu wasumbufu walitikisa dunia daah🤔🤔
Nilienda Kijiji Cha ndani nikatu mtu anapiga nyimbo ya Michael Jackson nilishangaaHakuna wa kuja kumzidi yesu na mtume muhamadi, anaefata labda michael jackson, Hao wengine wengi sijui kina alexandar the great ukiuliza watu wengi tu hapa bongo hawana habari nao, ila lazima atakuwa na habari za yesu, mtume muhamadi au michael jackso
Hahaha huyo tena balaaa😂😂😂😂Cleopatra wa Misri
Ongeza Francis BeconKila mtu na Fani yake. Watu wa muziki watasema wao, Kikapu watamtaja wao, Singeli watamtaja wao...
Ila Newton na Einstein vile vichwa shikamoo.
Tangu alipokimbia kwenye tukio la Nape kuelekezewa bastola hajawahi kuonekana tena!!Yupo wp ss hv?
Kwa Tesla wakasoneKila mtu na Fani yake. Watu wa muziki watasema wao, Kikapu watamtaja wao, Singeli watamtaja wao...
Ila Newton na Einstein vile vichwa shikamoo.