Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

Habari wadau!

Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?

Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k?

Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu alikuwa Mungu mtu maana kuna story nilisikia kuna watu walikuwa mashuhuri mpk wakawa wanaabudiwa?
Aliyewahi itikisa Dunia kikweli ni Hitler
 
Hakuna wa kuja kumzidi yesu na mtume muhamadi, anaefata labda michael jackson, Hao wengine wengi sijui kina alexandar the great ukiuliza watu wengi tu hapa bongo hawana habari nao, ila lazima atakuwa na habari za yesu, mtume muhamadi au michael jackso
Nilienda Kijiji Cha ndani nikatu mtu anapiga nyimbo ya Michael Jackson nilishangaa
 
Back
Top Bottom