Yupi ndiye msanii bora zaidi kwa sasa Afrika?

Joro produced by Nothboi...Kelp Hajahusikaa kabisaaaaa
Hiv unaamfuatilia kelp wakati alivyokuwa anafanya insta live na mashabiki wake akaulizwa swali na shabiki umetengeneza beat ya joro akajibu yah ni moja ya producer niliyetengeneza beat na hiyo beat ikachukuliwa na Wizkid na Wizkid akaenda pia kufanya na Northboy sijajua hapo kwanini hapo kwanini hajawa recognized hii issue haina tofauti na ile issue ya Nana ya diamond producer ambaye amekuwa recognized ni Tudd Thomas wakati pia navy kenzo pia alishiriki kutengeneza.
 
Ukimkuta mtu hafuatilii mziki jaribu kumwambia Lkn sio Mm...Joro Produced by Nothboi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…