Hiv unaamfuatilia kelp wakati alivyokuwa anafanya insta live na mashabiki wake akaulizwa swali na shabiki umetengeneza beat ya joro akajibu yah ni moja ya producer niliyetengeneza beat na hiyo beat ikachukuliwa na Wizkid na Wizkid akaenda pia kufanya na Northboy sijajua hapo kwanini hapo kwanini hajawa recognized hii issue haina tofauti na ile issue ya Nana ya diamond producer ambaye amekuwa recognized ni Tudd Thomas wakati pia navy kenzo pia alishiriki kutengeneza.Joro produced by Nothboi...Kelp Hajahusikaa kabisaaaaa