Yupi ndiye msanii bora zaidi kwa sasa Afrika?

Soko la muziki barani Afrika limekua sana kwa sasa, haishangazi kuona wasanii mbalimbali wakipishana kwenye majukwaa makubwa duniani kote kufanya show zinazowaingizia kipato.

Kuna wasanii wengi sana wa Afrika wanaovutia kiasi hadi cha nyimbo zao kuwa kwenye playlists za watu mbalimbali mashuhuri duniani, kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kama Grammy, BET n.k, kuwa kwenye charts maarufu kama billboard, kupewa collabo na wasanii wakubwa duniani, kupiga shows Ulaya, mfano kama Burnaboy, Wizkid, Davido, Simi Diamond Platnumz, Tiwa Savage,Yemi Alade, Patoranking, Rema, Mr Eazi, Harmonize na wengineo wanafanya vizuri. Ila je, nani ni zaidi ya wote na kwa kigezo kipi?
Kwa wasanii wanaofanya vizuri Africa harmonize mtoe hapo.
 
Kweli ase mwaka jana Burnaboy aliua
Nimesema mwaka Huu diamond ataleta competition cos jeje nimeona inafanya vizuri Sana kwenye platform nyingi za international kuanzia kwenye media kubwa za tv mpaka kwenye mauzo kuliko ngoma yoyote ya Africa mpaka sasa kwenye Top 10 ya soundcity inashika no 1, TraceAfrica,MTV base nako inashika no 1 na pia inafanya vizuri mpaka kwenye mataifa ya ulaya na kwenye sportfy na trademark ndo inaongoza kwa mauzo.Labda itokee ngoma nyingine ya Africa ya kuipiku hii.
 
Kwa mwaka Huu anaweza kuleta competition kubwa ila kwa mwaka Jana ulikuwa ni mwaka wa Burnaboy

Sema kwa mtazamo wangu, Diamond anafeli kwa kutowekeza zaidi kwenye album kama ilivyo kwa wasanii wengine
 
Kwa wasanii wanaofanya vizuri Africa harmonize mtoe hapo.

Anajitahidi mkuu, ndio maana hata kwenye tuzo mbalimbali za kimataifa amekua nominated mara nyingi! Na hata show za now ya nchi anajitahidi, Alisema pia ana mpango wa kwenda kukichafua pale 01 Arena ila naona corona itamkwamisha
 
Kwa nini mkuu
Kwa mwaka Jana ulikuwa wa Burnaboy hiyo haina ubishi ila kwa mwaka mondi ameanza vizuri ngoma yake ya jeje inafanya vizuri Sana kuliko ngoma yoyote ya Africa kuanzia kwenye media kubwa mpaka kwenye digital platform kwenye media Kama soundcity inashika no I,Trace mziki inashika no I ukija kwenye MTV base inashika no I na imeenda mbali inafanya vizuri mpaka nchi za ulaya kwenye kituo Cha uingereza uk1 Xtra inashika pia no 1 na channel o.Ukiachana hapo Hadi sasa ndio ngoma inayoongoza kwa kununuliwa kwenye mtandao wa sportfy na trademark.
 
Kuna tofauti ya kufanya vizuri Africa na kufanya vizuri East Africa unapozungumzia Africa lazima uwe umefanya show za nchi za Africa na ukajaza, uitwe kwenye matamasha makubwa ya Africa,uwe nominated kwenye vipengele vya wasanii wanaofanya vizuri Africa wakati harmonize anakuwa nominated kwenye category ya East Africa na pia ngoma zifanye vizuri kwenye media kubwa ukiangalia hivyo vitu harmonize ajakidhi kuanzia mwaka Jana mpaka mwaka huu.Ukiniambia anafanya vizuri East Africa nitakubaliana na wewe ila sio Africa.
 
Kwani tuzo ilienda kwa Nani? Huyo nadhani ndio atakua bora
 
Kwa mwaka Jana ulikuwa wa Burnaboy hiyo haina ubishi ila kwa mwaka mondi ameanza vizuri ngoma yake ya jeje inafanya vizuri Sana kuliko ngoma yoyote ya Africa kuanzia kwenye media kubwa mpaka kwenye digital platform kwenye media Kama soundcity inashika no I,Trace mziki inashika no I ukija kwenye MTV base inashika no I na imeenda mbali inafanya vizuri mpaka nchi za ulaya kwenye kituo Cha uingereza uk1 Xtra inashika pia no 1 na channel o.Ukiachana hapo Hadi sasa ndio ngoma inayoongoza kwa kununuliwa kwenye mtandao wa sportfy na trademark.

Diamond ameuanza vizuri mwaka, ila hatunaga mastar wengine nao wamejipangaje
 
Kwa mwaka Jana ulikuwa wa Burnaboy hiyo haina ubishi ila kwa mwaka mondi ameanza vizuri ngoma yake ya jeje inafanya vizuri Sana kuliko ngoma yoyote ya Africa kuanzia kwenye media kubwa mpaka kwenye digital platform kwenye media Kama soundcity inashika no I,Trace mziki inashika no I ukija kwenye MTV base inashika no I na imeenda mbali inafanya vizuri mpaka nchi za ulaya kwenye kituo Cha uingereza uk1 Xtra inashika pia no 1 na channel o.Ukiachana hapo Hadi sasa ndio ngoma inayoongoza kwa kununuliwa kwenye mtandao wa sportfy na trademark.
Tunasubiri Rihanna featuring Wizkid/Burna Boy,
Wewe kalia hivyo hivyo anafanya vizuri anafanya vizuri wenzie wanapiga collaborations na kina Beyonce huko.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Hizo ndio dalili za kuanza mwaka kwa mafanikio
 
Back
Top Bottom