Yupi ni Kepteni Wako Bora wa Muda Wote?

Hivi kwanini Captain wa Real Madrid ndio lazima awe Captain wa Hispania?


Sio kweli, Spain wanachukua World Cup South Africa captain alikuwa Carles Puyol. Mfumo wao ni kwamba, mtu ambaye amekaa kwenye timu kwa muda mrefu kuliko wote ndio anavaa kitambaa.
 
Nilikua namuamina Sana Patrick Viera pale ndani ya Arsenal ,,,,upande wa pili man u nilimkubali Sana Roy keane
Picha inanikumbusha soka lilipokuwa mchezo wa wanaume. Siku hizi limevamiwa na wavulana. Nyakati zimekwenda wapi?
 
Utamkumbuka kwa lipi?
Kuwezesha Suisse kutwa ubingwa wa Euro U17, Kufanikisha Basel kutwa ubingwa wa Suisse, Arsenal FA Cup na kuwezesha Suisse kufika quarter final ya Euro 16 France.

Pia kujenga Hospital na Shule nchini Albania na Kosovo na kutoa msaada mkubwa wa kifedha na mahitaji muhimu kwa rohigya wa Burma/Myanmar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…