Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hebu leo tumtaje kocha bora wa kigeni ambaye amewahi kufundisha soka hapa bongo katika ligi yetu.

Mimi naanza na Stewart John Hall
 
Papaa Zahera hana mpinzani katika hili
 
Patrice phiri

Huyu kocha alikua mzuri baadae akaenda kwao Zambia akalogwa aliporudi tena simba akawa kama kichaa kila mchezaji mzuri anamuweka benchi kuanzia tambwe maguri na vijana wengine kibao matokeo yake akavuruga timu nzuri sana iliyokua imejaa vijana na wakongwe wachache!!.. simba hatuna hamu tena na huyu kipara mbabe!!
 
Back
Top Bottom