Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

James Siang'a alitupa ubingwa wa ligi bila kufungwa.

James Siang'a siku tunrudiana na Ismailia, tunawachapa 2 - 0 ndani ya nusu saa, mvua inaharibu sherehe.

Yule mdingi alituletea heshima sana.
mtumikie kafiri uende zako ndicho kilichomkuta yule mzee, alifanya kazi kubwa sana ya kuijenga simba na Tanzania kupitia ulimwengu wa soka lakini alichokivuna ni heshima tupu kutoka kwa walalahoi na matajiri uchwara

ulimwengu huu wa kibepari heshima tupu haiwezi kukuondolea shida zako unazokumbana nazo kila siku.
acha aendelee kupumzika kwa amani na upendo uliojaa unafiki huko aliko.

nakumbuka nilisoma makala yake kwenye gazeti la mwanaspoti mguu wake uliharibika vibaya sana nahisi itakuwa ni sukari ndio ilikatisha uhai wake
 
nakumbuka nilisoma makala yake kwenye gazeti la mwanaspoti mguu wake uliharibika vibaya sana nahisi itakuwa ni sukari ndio ilikatisha uhai wake

Kuna Harambee nakumbuka ilifanyika na wana Simba, sina uhakika zilipatikana kiasi gani.

All in all, ni mapenzi ya Mola.
 
Kocha bora hupimwa na mafanikio yake, hebu tuache kujibu maswali kama wanafunzi wa shule za msingi, unapotaja kocha fulani ni bora, utaje na mafanikio yake, hapo ndipo utastahili kujiona GT na kujitofautisha na wale wa shule za msingi.

Kwangu kocha bora wa kigeni ni James Siang'a ambaye aliifikisha Simba fainali ya kombe la Shirikisho la CAF. Anayefuatia ni Patrick Aussems ambaye aliifikisha Simba robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF.

Huyu papa Zahera, tumpe muda maana ndio anaanza safari kwenye kombe la mabingwa is CAF.

Vv
 
Kuna Harambee nakumbuka ilifanyika na wana Simba, sina uhakika zilipatikana kiasi gani.

All in all, ni mapenzi ya Mola.
tukishamuingiza mola kwenye jambo lolote kinachotokezea baadae ni kufunga mjadala.
teh teh teh.
unamkumbuka patrick phiri?
 
Back
Top Bottom