Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kibongo bongo yupo
Deus kaseke
Erasto nyoni
Bila FABINHO uzii huu utakuwa batili
Fred game ya SOTON kanipigia Left back kama Marcelo on his pic
Milner, beki wa kulia, kushoto, winger kulia, kushoto, kiungo wa kati mpaka keeperDaah kweli, huyo jamaa akiwa Monaco kakiwasha sana muda mwingi akiwa kama beki wa kulia baadae akahamia kiungo wa kati nako[emoji91]
Baada ya hapo akaenda Liver anakiwasha kama kiungo na baada ya kuumia kwa VVD amerudi kucheza kama beki wa kati![emoji91][emoji91][emoji91]
Milner, beki wa kulia, kushoto, winger kulia, kushoto, kiungo wa kati mpaka keeper
Tunaona kazi yake hyu Mbrazil na pacha wake ScottFred yuko underrated sana! Msimu huu anapiga kazi kimya kimya
Bila FABINHO uzii huu utakuwa batili
Mame Biram Diof
- Amecheza kama striker, winger, midfielder, LB x RB, CB na Keeper. Amecheza nafasi zote uwanjani na akionesha ujuzi sawia.
Nadhani alikosa nafasi Manchester United, Diof wa Stoke City ndiye huyu niliyeainisha.Japo wakati wake Man Utd haukuwa mzuri