Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kuna wachezaji katika soka wamejaaliwa uwezo mkubwa wa kucheza namba mbalimbali kwa ubora ule ule. Wachezaji hawa tunawaita viraka.
Dunia ya soka haiwapi credit zao sana wachezaji wa aina hii, lakini mara nyingi huwa wana mchango mkubwa sana kwenye timu zao.
Mimi namkubali sana Joshua Kimmich wa Bayern Munich, dogo anapiga full back, center back na kiungo. Ndio maana kwasasa anaongoza kwa assist katika Bundesliga.
Mchezaji gani unamkubali zaidi ambaye ana uwezo wa kucheza namba nyingi uwanjani?