Yupi ni mchezaji kiraka zaidi unayemkubali?

Yupi ni mchezaji kiraka zaidi unayemkubali?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna wachezaji katika soka wamejaaliwa uwezo mkubwa wa kucheza namba mbalimbali kwa ubora ule ule. Wachezaji hawa tunawaita viraka.

Dunia ya soka haiwapi credit zao sana wachezaji wa aina hii, lakini mara nyingi huwa wana mchango mkubwa sana kwenye timu zao.

Mimi namkubali sana Joshua Kimmich wa Bayern Munich, dogo anapiga full back, center back na kiungo. Ndio maana kwasasa anaongoza kwa assist katika Bundesliga.

Mchezaji gani unamkubali zaidi ambaye ana uwezo wa kucheza namba nyingi uwanjani?
 
Bila FABINHO uzii huu utakuwa batili

Daah kweli, huyo jamaa akiwa Monaco kakiwasha sana muda mwingi akiwa kama beki wa kulia baadae akahamia kiungo wa kati nako[emoji91]

Baada ya hapo akaenda Liver anakiwasha kama kiungo na baada ya kuumia kwa VVD amerudi kucheza kama beki wa kati![emoji91][emoji91][emoji91]
 
Milner, beki wa kulia, kushoto, winger kulia, kushoto, kiungo wa kati mpaka keeper
 
Mame Biram Diof

- Amecheza kama striker, winger, midfielder, LB x RB, CB na Keeper. Amecheza nafasi zote uwanjani na akionesha ujuzi sawia.
 
LeBron Raymone James Sr.
Stephen Curry
Kevin Durant
James Harden
Kyrie Irving
 
Back
Top Bottom