eusebio; mozambique/portugal
Kacheza world cup nyingi zaidiHuyo Roger Miller kipi kimekufanya umchague? Au kuitwa kwake uzeeni kwenda kucheza Kombe la Dunia mkuu?
Kila zama na kitabu chake. Kwa wachezaji bora kabisa kutokea barani Africa ni
1. George Weah
2. Rodger Milla
3. Samweli Eto'o Fils
4. Muhammed Aboutrika.
Hao kina Drogba, Yaya Toure walikuwa wazuri lakini hawajafikia viwango vya hao hapo juu.
Acha kuzingua hapa hatubet
Acha kuzingua hapa hatubet