Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

heshima kwako mkuu,ni kosa kubwa kusoma comment yako bila ya ku like
Shukran kwako pia tunapokutana hivi na kukumbuka mambo yaliyo tokea miaka 27 iliyopita waqt mwingine unaona kama jana enzi hizo mechi ya kombe la dunia inachezwa leo basi ninyi huku mnaangalia recoded baada ya siku tatu.
 
Kila zama na kitabu chake. Kwa wachezaji bora kabisa kutokea barani Africa ni
1. George Weah
2. Rodger Milla
3. Samweli Eto'o Fils
4. Muhammed Aboutrika.

Hao kina Drogba, Yaya Toure walikuwa wazuri lakini hawajafikia viwango vya hao hapo juu.
Aboutrika anampita Okocha??huyu hakufika hata kwa yule Zuma wa Africa Kusini.
 
kwa vigezo vya tuzo ni GEORGE WEAH
kwa vigezo vya mshambuliaji mkali ni SAMUEL ETOO
kwa kigezo cha "ugaucho" ni AUSTIN "JAYJAY" OKOCHA
 
Hakuna kama George Opong Weah. Ingawa anatokea Taifa maskini na duni kiuchumi na kisoka, ni mwafrika pekee kutwaa uchezaji bora wa Dunia akiwa AC Milan. Ni Weah tu
Hakunaga kama Roger miller huende wengi wenu hamkumuona
 
Back
Top Bottom