Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Duu kusema mchezaji bora wa muda wrote ni utata,maana wachezaji wengine mtu hujawahi kuwaona. Binafsi niliyemuona ni Samuel Etoo. Kachukua kombe afrika, uefa Mara mara 3 mara 2 akitia nyavu mwebyewe alishafika mpaka 3 bora za wachezaji bora duniani 2005.
 
Huyo Roger Miller kipi kimekufanya umchague? Au kuitwa kwake uzeeni kwenda kucheza Kombe la Dunia mkuu?
Roger Milla alistaafu soka la kimataifa mwaka 1987 na kuelekea katika visiwa vya reunion akijishughulisha na biashara khasa viatu baada ya cameroon kufuzu kombe la dunia mwaka 1990 timu na viongozi wakenda ikulu kwa mh Paul biya kwa pongezi basi katika mazungumzo akaulizia kuhusu Milla wa kamwambia mzee huyo unaemtaja tayari kesha tundika daruga mh rais hakukubaliana nao akawaambia mchezaji yule aitwe na kwa msisitizo akaomba namba ya Milla na kumtwangia aje ashiriki bila khiyana ilikuwa imebaki miezi mitatu kitu kama hicho.
Mwanaume akaja kufanya yake na moja kati ya mabao yake alimfunga nyanda mwenye mbwembwe nyingi rene heiguita baada ya kutaka kumlamba chenga.
 
Roger Milla alistaafu soka la kimataifa mwaka 1987 na kuelekea katika visiwa vya reunion akijishughulisha na biashara khasa viatu baada ya cameroon kufuzu kombe la dunia mwaka 1990 timu na viongozi wakenda ikulu kwa mh Paul biya kwa pongezi basi katika mazungumzo akaulizia kuhusu Milla wa kamwambia mzee huyo unaemtaja tayari kesha tandika daruga mh rais hakukubaliana nao akawaambia mchezaji yule aitwe na kwa msisitizo akaomba namba ya Milla na kumtwangia aje ashiriki bila khiyana ilikuwa imebaki miezi mitatu kitu kama hicho.
Mwanaume akaja kufanya yake na moja kati ya mabao yake alimfunga nyanda mwenye mbwembwe nyingi rene heiguita baada ya kutaka kumlamba chenga.
Aksantr Mkui kwa shule bila ada.
 
Aksantr Mkui kwa shule bila ada.
Shukran nawe pia na timu ilikwenda mbali nalikumbuka goli la François omam biyik dhidi ya Argentina kama pana mdau basi ataweza kutuwekea picha ile murua cilily makanaky aliwabeba watu karibu wanne kwa mguu mmoja ama kwa hakika ilikuwa picha nzuri badae wakenda mpaka robo fainali ilikuwa ni historia na kutolewa na England kwa mabao ya penalty za Gary Lineker. Palikuwa na wachezaj wengi tu wanacheza soka ya ndani kama kapteni wao stiven tataw beki wa kulia huyu akisaidiwa na emanuel kunde mbavu ya kushoto hapo kati kina bonaventure ndjokemp na Benjamin massing aah waqt umekwenda wapi?
 
RONALDINHO GAUCHO, hutaki acha! Sio mwafrika ila anastahili kuwepi ktk kila orodha au topic ya wachezaji bora popote duniani tena top of the list!
 
Hakuna kama George Opong Weah. Ingawa anatokea Taifa maskini na duni kiuchumi na kisoka, ni mwafrika pekee kutwaa uchezaji bora wa Dunia akiwa AC Milan. Ni Weah tu
Sijajua Wear alishindaje uchezaji bora, Drogba ni better milion times, na the most skillfull striker ever from Afrika was Nwanko Kanu!
 
Shukran nawe pia na timu ilikwenda mbali nalikumbuka goli la François omam biyik dhidi ya Argentina kama pana mdau basi ataweza kutuwekea picha ile murua cilily makanaky aliwabeba watu karibu wanne kwa mguu mmoja ama kwa hakika ilikuwa picha nzuri badae wakenda mpaka robo fainali ilikuwa ni historia na kutolewa na England kwa mabao ya penalty za Gary Lineker. Palikuwa na wachezaj wengi tu wanacheza soka ya ndani kama kapteni wao stiven tataw beki wa kulia huyu akisaidiwa na emanuel kunde mbavu ya kushoto hapo kati kina bonaventure ndjokemp na Benjamin massing aah waqt umekwenda wapi?
Aisee, nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.! Cameroon ilitikisa WC 1990. Hakika walistahili kufika robo fainali kama walivyofanya.

Ndio uzuri wa JF, asante mkuu kwa kutujuza.
 
Aisee, nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.! Cameroon ilitikisa WC 1990. Hakika walistahili kufika robo fainali kama walivyofanya.

Ndio uzuri wa JF, asante mkuu kwa kutujuza.
Ukiingia penye mtandao na kuandika neno the famous pictures of cameroon world cup 1990 utaiona hiyo picha ya watu watatu wamebebwa na mguu mmoja unaweza kutuwekea mimi sina ujuzi wa kuhamisha toka huko.
 
Poa ntazitafuta hizo picha niziweke jukwaani.
 
Back
Top Bottom