Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Wewe kweli unajua Mpira. Acha Watoto waongee.
Black Panther alikuwa namba nyingine. RIP.

eusebius-the-black-panther-the-legend-of-portuguese-football-died-dnt6n6.jpg



eusebio; mozambique/portugal
 
Taribo west, Daniel amonike, uche ukwechuku, celestine babayaro, Daniel amokachi, tijan babangida na the king himself SAMUEL ETOO FILS
 
we bachu we wewewewe hatari hatari hatareee yaani hiyo list hapo juu nilimwacha demu wangu nikamwambia subiri kama saa moja na nusu nakuja maana tulimtandika SPAIN bao 3 kwa 2 huwiiiii mimi nikampiga demu wangu goli 2 hahahaha wapi babayaroooo
 
Kwangu mimi ni Nwanko Kanu no.1 amechezea nigeria miaka 18. Na zaidi ya hapo anasupport mpira kwa watoto na vijana kwao nigeria na pia ana Heart foundation kusaidia watoto wenye matatizo ya moyo.
No. 2 George Weah amechezea liberia miaka 16. Ni mwanasiasa mbunge wa jimbo lake huko liberia na anasaidia jimbo lake na kuwasaidia na kuwadhamini elimu watoto na vijana wa liberia kutokana na nchi nchi iliyoharibiwa na vita.

Wengine starehe.
 
Kila zama na kitabu chake. Kwa wachezaji bora kabisa kutokea barani Africa ni
1. George Weah
2. Rodger Milla
3. Samweli Eto'o Fils
4. Muhammed Aboutrika.

Hao kina Drogba, Yaya Toure walikuwa wazuri lakini hawajafikia viwango vya hao hapo juu.
 
Kila zama na kitabu chake. Kwa wachezaji bora kabisa kutokea barani Africa ni
1. George Weah
2. Rodger Milla
3. Samweli Eto'o Fils
4. Muhammed Aboutrika.

Hao kina Drogba, Yaya Toure walikuwa wazuri lakini hawajafikia viwango vya hao hapo juu.

Umewasahau Mustapha and yusuf haji
 
Back
Top Bottom