Shukran nyingi kwakoPoa ntazitafuta hizo picha niziweke jukwaani.
Fally ipupa swag....African James bond,,,,didier drogba
Ukiingia penye mtandao na kuandika neno the famous pictures of cameroon world cup 1990 utaiona hiyo picha ya watu watatu wamebebwa na mguu mmoja unaweza kutuwekea mimi sina ujuzi wa kuhamisha toka huko.
ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.post ya kijinga.......haiwezekani awe wa siku zote labda ungesema yupi mkali kati ya hawa... ...
Tafuta zaidi utaipata makanaky kawabeba watu watatu kwa mguu mmoja ilikuwa bonge la picha.
Huyu François omam biyik hapo anawafunga Argentina kumbuka hapo mechi ya ufunguzi na argentina ndio alikuja na ndoo penye mashindano hayo kina joe burchagga claudio cannigia golini alikuwa Sergio goicochea wote hawa walikuwa wachezaji mashuhuri ila walikuwa wakiongozwa na mtu mashuhuri kuliko wao Diego armando maradona wa Argentina.
Pepe Kalle akaamua kumtungia nyimbo MillaHuyu François omam biyik hapo anawafunga Argentina kumbuka hapo mechi ya ufunguzi na argentina ndio alikuja na ndoo penye mashindano hayo kina joe burchagga claudio cannigia golini alikuwa Sergio goicochea wote hawa walikuwa wachezaji mashuhuri ila walikuwa wakiongozwa na mtu mashuhuri kuliko wao Diego armando maradona wa Argentina.
Kunde yekete Roger Milla e makanaky makanaky sio mchezo enzi hizo golini alikuwa thomas nkonoPepe Kalle akaamua kumtungia nyimbo Milla
heshima kwako mkuu,ni kosa kubwa kusoma comment yako bila ya ku likeHuyu François omam biyik hapo anawafunga Argentina kumbuka hapo mechi ya ufunguzi na argentina ndio alikuja na ndoo penye mashindano hayo kina joe burchagga claudio cannigia golini alikuwa Sergio goicochea wote hawa walikuwa wachezaji mashuhuri ila walikuwa wakiongozwa na mtu mashuhuri kuliko wao Diego armando maradona wa Argentina.