Yupi ni Mwanasoka Bora wa Wakati Wote Barani Afrika?

Jay Jay okocha ni mwiba mkali. Skills za kufa mtu
 
J.j okocha
Yaya toure
Champion boy mbwana samatta.
 
post ya kijinga.......haiwezekani awe wa siku zote labda ungesema yupi mkali kati ya hawa... ...
 
Ukiingia penye mtandao na kuandika neno the famous pictures of cameroon world cup 1990 utaiona hiyo picha ya watu watatu wamebebwa na mguu mmoja unaweza kutuwekea mimi sina ujuzi wa kuhamisha toka huko.
56192552.jpg
cameroon-players-celebrat-011-1402121490.jpg
5cameroon-1402121080.jpeg
cropped-world-cup-1990.jpg
 
Huyu François omam biyik hapo anawafunga Argentina kumbuka hapo mechi ya ufunguzi na argentina ndio alikuja na ndoo penye mashindano hayo kina joe burchagga claudio cannigia golini alikuwa Sergio goicochea wote hawa walikuwa wachezaji mashuhuri ila walikuwa wakiongozwa na mtu mashuhuri kuliko wao Diego armando maradona wa Argentina.
 
Pepe Kalle akaamua kumtungia nyimbo Milla
 
Yeah ndie bora kwa Afrika alikua anajua mpira huyo jamaa hadi wazungu na fitina zao wakashindwa kumnyima uchezaji bora wa dunia na msimu wa pili alikua anaubeba wakatengeneza mazingira ya kupata kadi nyekundu ili asichaguliwe na walifanikiwa maana kipindi cha nyuma nidhamu ilizingatiwa sana sio ile Zidane kamtia mtu ndoo fainali harafu akapewa mchezaji bora wa mashindano.
 
Huyu François omam biyik hapo anawafunga Argentina kumbuka hapo mechi ya ufunguzi na argentina ndio alikuja na ndoo penye mashindano hayo kina joe burchagga claudio cannigia golini alikuwa Sergio goicochea wote hawa walikuwa wachezaji mashuhuri ila walikuwa wakiongozwa na mtu mashuhuri kuliko wao Diego armando maradona wa Argentina.
heshima kwako mkuu,ni kosa kubwa kusoma comment yako bila ya ku like
 
Back
Top Bottom