Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Shukran kwako pia tunapokutana hivi na kukumbuka mambo yaliyo tokea miaka 27 iliyopita waqt mwingine unaona kama jana enzi hizo mechi ya kombe la dunia inachezwa leo basi ninyi huku mnaangalia recoded baada ya siku tatu.heshima kwako mkuu,ni kosa kubwa kusoma comment yako bila ya ku like
Aboutrika anampita Okocha??huyu hakufika hata kwa yule Zuma wa Africa Kusini.Kila zama na kitabu chake. Kwa wachezaji bora kabisa kutokea barani Africa ni
1. George Weah
2. Rodger Milla
3. Samweli Eto'o Fils
4. Muhammed Aboutrika.
Hao kina Drogba, Yaya Toure walikuwa wazuri lakini hawajafikia viwango vya hao hapo juu.
Tunamsubiri Mbwana Samatta awe mwafrika wa pili kufanya hivyo hivi karibuni.Hakuna kama George Opong Weah. Ingawa anatokea Taifa maskini na duni kiuchumi na kisoka, ni mwafrika pekee kutwaa uchezaji bora wa Dunia akiwa AC Milan. Ni Weah tu
MmmhEl hadji diouf
Yule jamaa wake Afande SelleFrancis Cheka[emoji41][emoji41]
Hakunaga kama Roger miller huende wengi wenu hamkumuonaHakuna kama George Opong Weah. Ingawa anatokea Taifa maskini na duni kiuchumi na kisoka, ni mwafrika pekee kutwaa uchezaji bora wa Dunia akiwa AC Milan. Ni Weah tu