Elewa swali mkuuAcheni unazi et pogba mara hazard. Bado cjaona kama mess na Cr7
Mudric ndio nani mkuu? Nakushauri acha kuharibu majina ya watuHivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Rudi shule mkuu, uelewa wako bado ni mdogo sana. Au umekurupuka kuchangia uzi bila kujua uzi unahitaji nini?Acheni unazi et pogba mara hazard. Bado cjaona kama mess na Cr7
Mkuu nimeelewa sana the problem ni kwamba nimeona watu wameanza kupinga neither Mess nor CR7 aint the best.Rudi shule mkuu, uelewa wako bado ni mdogo sana. Au umekurupuka kuchangia uzi bila kujua uzi unahitaji nini?
Mkuu utamuachaje Dybala?
- MESSI
- ...
- ...
- CR7 and DYBALA
Hivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
wamevunja rekodi gani hao uliowatajaHivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
ndio uwataje sasa sio unaishia kulalamikaKwa waliopata bahati na nafasi ya kuonekana ulimwenguni; CR7 na Messi wanajua, ila kwa upande wangu kuna miungu wa mpira wa miguu ambao dunia haijawaona na waliowahi kuonekana, hawakupata PROMO
Nimewahi kuona pia baadhi ya wachezaji; majina yao kukuzwa sana kuliko uwezo walionao lakini haikuwezekana.
aliye na ndoo ya dunia mkononi kwa sasa ni nani mkuuMkuu utamuachaje Dybala?
- MESSI
- ...
- ...
- CR7 and DYBALA
maradona kafanya maajabu gani kumzidi peleAlafu mkuu ningekushauri kidogo. Tafadhali mtoe hapo MESSI sio pahala pake mkuu tafadhali, unamvujia heshima. MESSI anatakiwa awepo katika utatu yani
- MESSI
- DIEGO ARMANDO
- PELE
wamevunja rekodi gani hao uliowataja
Kwaiyo uwezo wa mchezaji unapimwa kutokana na rekodi alizovunja au Skills na nini analofanya ndani ya uwanja?[sasa skills ambazo kila mchezaji anafanya zinakutofautishaje na wachezaji wa kawaida
John Boko AdebayorNipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?