Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Ronaldo, The world Best. He runs away from buildup and waits for the play in the six yard box.
He should be could BOXNALDO
 
Kwa waliopata bahati na nafasi ya kuonekana ulimwenguni; CR7 na Messi wanajua, ila kwa upande wangu kuna miungu wa mpira wa miguu ambao dunia haijawaona na waliowahi kuonekana, hawakupata PROMO

Nimewahi kuona pia baadhi ya wachezaji; majina yao kukuzwa sana kuliko uwezo walionao lakini haikuwezekana.
ndio uwataje sasa sio unaishia kulalamika
 
Kwaiyo uwezo wa mchezaji unapimwa kutokana na rekodi alizovunja au Skills na nini analofanya ndani ya uwanja?[sasa skills ambazo kila mchezaji anafanya zinakutofautishaje na wachezaji wa kawaida
 

alichokua akifanya Zidane au Ronaldinho ndani ya uwanja ndicho kilichokua kikimtafautisha na wachezaji wengine kabisa.
Lampard amewazidi wote kwa kufunga magoli lakini je kinachomtafautisha Lampard na Ronaldinho ni nini?
 
Watu bhana mtoa mada kauliza coz hao aliowaja ndoo wachezaji bora wanaotambulika na FIFA kwa ubora so neyma Jr na mbappe ndoo wanaofuatia
 
Back
Top Bottom