Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Screenshot_20240324-124026.jpg

Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
 
Kuna demu wa Kyela aliweka kindege (flight mode) simu yake, akawa hapatikani.

Jamaa yake kumuuliza mbona ulikuwa haupatikani demu akazima tena simu

Mademu wa Kyela pasua kichwa
 
Ongeza hapo machame na kibosho, wanawake majeuri, wanaopenda kutawala wanaume, wakatili, wauaji n.k
 
Ukiona mtu kwao ana historia mbaya, na baadhi ya vitabia hata kwake pia unaviona, kaa nae mbali.

Acha kujifariji kuwa atabadilika.
 
Nikweli kabisa me nimedate na nesi moja mnyakyusa anakiburi sana nikamkimbia mpaka leo hujaolewa kisa kiburi na jeuri

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
wanawake wa kinyaki sema wanafanya kazi balaaa ukiwaona kwenye daladala za mbalizi na madishi ya parachichi wanawahi mwanjelwa soko matola na Nane Nane
 
Lakini pia ukimuoa mmoja wa nakuja kwako kukaa ukoo mzima, utasikia huyu mtoto wa shangazi gwangu, Mara huyu mtoto wa binamu yangu, alafu wanajaa huku wavivu wanakula tu weusi wamenenepeana balaa
 
wanawake wa kinyaki sema wanafanya kazi badalaa ukiwaona kwenye daladala za mbalizi na madishi ya parachichi wanawahi mwanjelwa soko matola na Nane Nane
Hao wa Tukuyu unawajua wa kyela? Kyela zao misambwanda, kyela kuvaa tuu kyela sherehee
 
Huko kuna kiburi cha kinyakyusa [emoji3][emoji3]
 
Lakini pia ukimuoa mmoja wa nakuja kwako kukaa ukoo mzima, utasikia huyu mtoto wa shangazi gwangu, Mara huyu mtoto wa binamu yangu, alafu wanajaa huku wavivu wanakula tu weusi wamenenepeana balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini pia ukimuoa mmoja wa nakuja kwako kukaa ukoo mzima, utasikia huyu mtoto wa shangazi gwangu, Mara huyu mtoto wa binamu yangu, alafu wanajaa huku wavivu wanakula tu weusi wamenenepeana balaa
Hapa umedanganya mkuu. Ni kweli tabia alizoinisha mtoa mada wanazo ila hili la kwako ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom