Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

Unaleta ujinga unataka tukuchekee ikiwezekana hadi makofi unakula!!

Kiburi? Yes tunacho ila uzuri wetu tunajua kuitafuta pesa.
 
Lakini pia ukimuoa mmoja wa nakuja kwako kukaa ukoo mzima, utasikia huyu mtoto wa shangazi gwangu, Mara huyu mtoto wa binamu yangu, alafu wanajaa huku wavivu wanakula tu weusi wamenenepeana balaa
Wanyakyusa tabia ya kujazana kwa ndugu hatuna kwanza hatupendi….pia hatuna asili ya uvivu umeongopa!!!

Watu wa Kyela wengi sio weusi, Wanyakyusa weusi wengi wanatokea Tukuyu
 
Mwafrika utafiti wake ni wa kusikia na akiipenda hiyo hadithi basi kaipitisha,iwe ukweli au uongo.kuna watu mada zao wakitoa ni rahisi mno kuwa-CLASSIFY.
 
Back
Top Bottom