Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
kumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.Kwenye mila zetu za ‘Kiswahili’ wanasema ‘Si vyema kuzungumza huku ukiwa na tonge mdomoni’
Harakati magilinikumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.
Hahaha
Wanaharakati😂🖕
Mkuu umeamua kuja kumfungulia Uzi huku?Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.
Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.
Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.
NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia wengine wanapigania Ugali wao , Ugali wa Maboss zao, Marafiki zao.
Msalimieni sana Fatma Karume Rais Mstaafu wa TLS.
Ndivyo ilivyo hauoni hata maccm leo wanajitenga na Nchimbi na wote wanapongeza kufukuzwa kwake ila subiri aje raisi mwingine halafu amrejeshe Nchimbi kwenye mfumo uone watu haohao watakavyopongeza na kulaani kabisa kilichokatokea cha kufukuzwakumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.
Hahaha
Wanaharakati😂🖕
Siasa na uanaharakati ni usenge tu wote hao wana interest zaoHawa activists wote sio wakuwaamini wapo kwa interest zao fu
Fatma ameamua kuachana mambo haya, ameamua kutafuta akhera yake. Ameamua kutubu na kuaza maisha mapys ambayo ndio maisha bora na yaliyo mazuri. Sote tunatakiwa tuwe hivyo. Amerudi hijja na ameamua kuachana na mambo ya siasa ambayo ameiona yanamuweka mbali na Muumba wakeHuyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.
Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.
Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.
NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia wengine wanapigania Ugali wao , Ugali wa Maboss zao, Marafiki zao.
Msalimieni sana Fatma Karume Rais Mstaafu wa TLS.
Hakuna Muumba ni uongo wa kidini tuFatma ameamua kuachana mambo haya, ameamua kutafuta akhera yake. Ameamua kutubu na kuaza maisha mapys ambayo ndio maisha bora na yaliyo mazuri. Sote tunatakiwa tuwe hivyo. Amerudi hijja na ameamua kuachana na mambo ya siasa ambayo ameiona yanamuweka mbali na Muumba wake
Kwa hivyo wewe umejiumba? Kama umejiumba basi fanya usiondoke ktk dunia hiiHakuna Muumba ni uongo wa kidini tu
Ameacha hayo baada ya kujitambua kwa kurudi hijjaAliacha kupiga kelele baada ya yule mzanzibar kuanza kujenga kwao....
Zanzibar inajengwa Kila siku,haoni sababu ya kushinda anapiga kelele
Yuko kwao Zenji, yeye uanaharakati wake ni pale Rais akiwa Mtanganyika na hasa akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia kama alivyo Zitto Kabwe, yeye ni Mzanzibari zaidi na siyo Mtanzania.Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.