Yupo Wap Mwanaharakati Fatuma Karume ( Shangazi)?

Aah wapi chapombe huyo kama dingi wake, ngoja awamu ya saba aje Rais Mtanganyika tena awe Mgalatia utamsikia akianza kufurikuta sasa mdomo umejaa mafuta anabunya tartiiib.
 
Aah wapi chapombe huyo kama dingi wake, ngoja awamu ya saba aje Rais Mtanganyika tena awe Mgalatia utamsikia akianza kufurikuta sasa mdomo umejaa mafuta anabunya tartiiib.
Ktk uislam hata ukiwa mlevi baadae ukarudi kwa Allah hakuna kosa. Yeye ameamua hivi sasa kumrudi kwa muumba wake, anatafuta akhera yake, amewaacha wengine ktk social media wakumbatie dunia yao
 
Ktk uislam hata ukiwa mlevi baadae ukarudi kwa Allah hakuna kosa. Yeye ameamua hivi sasa kumrudi kwa muumba wake, anatafuta akhera yake, amewaacha wengine ktk social media wakumbatie dunia yao
Huyo mpaka kesho anapiga kilevi na kale katabia kengine pia hajaacha.
 
kumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.

Hahaha

Wanaharakati😂🖕
Kwamba Fatma Karume ana njaa ya fedha siyo?

Mtu ambaye babu yake amekuwa Rais wa Zanzibar kisha baba yake naye akawa Rais wa Zanzibar halafu tuseme amepewa fedha ndiyo akanyamaza?

Kwani mtu akiamua kuwa kimya kwa kipindi fulani kwasababu zake binafsi lazima afungamanishwe na kulamba asali?

Fatma amekulia Ikulu karibu nusu ya maisha yake kufikia sasa.
 
Vipi Niffer? Hahaha miezi michache iliyopita humuhumu ulimsifu kwa kuvaa hijab. Sasa hivi kiko wapi? Halafu fatma karume alivaa vile tu alipoenda msibani.

Hebu tutupie picha zake akiwa Hijja!
 
Mbombo Ngafu.

Msalimie Fatuma Mkuu
 
Vipi Niffer? Hahaha miezi michache iliyopita humuhumu ulimsifu kwa kuvaa hijab. Sasa hivi kiko wapi? Halafu fatma karume alivaa vile tu alipoenda msibani.

Hebu tutupie picha zake akiwa Hijja!
Huyo Malaria ni zuzu, mpuuze mkuu.

Yeye kila mwenye imani yake ujipendekeza hata kama ananuka mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…