wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Hapo nimekuelewa maana mambo afanyayo sio ya kwenye runinga ila taarifa imfikie she has to change haraka.Amekaa redion kwa muda wa miaka11 n sawa kwa sasa ila baadae ata zoea
Kuna siku nilikua naangalia kipindi cha sport cha EATV, mtangazaji aliwaalika wachambuzi wawili aise jamaa mmoja alikua anataka kuongea peke yake na kuwatoa ufahamu wenzie kua hawajui kitu, ilikua kazi kwa mtangazaji kumkatisha ili na mwenzie azungumze, mwenzie akiongea kidogo kishamkatisha anaongea yeye tu, nilikasirika ile siku na TV nikaizima,Ukiona mtangazaji anataka kuzungumza yeye zaidi jua anakuwa hana utulivu wa kiakili au pengine ana aina fulani ya trauma.
Ndio,Eti wanauliza maswali wanajibu wenyewe [emoji1]
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa amekaa kama anataka kuondoka
Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,
Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
Mkuu kunywa Pepsi BaridiYule binti ana jeuri hata kwa watangazi wenzie japo sio sawa kuna muda uwa anawakaripia like yeye ndiye top uwa sibarikiwi naye .
Sure, nafkri hata director wa kipindi hua ana pata tabu sana kumshape akae sawaHapo nimekuelewa maana mambo afanyayo sio ya kwenye runinga ila taarifa imfikie she has to change haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji17] nataman apite hapa asome commentHuwa amekaa kama anataka kuondoka
Nilikuw shabiki wa kile kipindi,ila sikuhizi sikion tnaKuna yule dogo wa wasafi TV kipindi cha msumari wa moto asee anajua kufanya interviews balaa
Anatoa mpk reference,na nukuu mbalimbali ndio anauliza swali unaona kazi huyu ana taaluma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa amekaa kama anataka kuondoka
Charles William na yupo humu piaKuna yule dogo wa wasafi TV kipindi cha msumari wa moto asee anajua kufanya interviews balaa
Anatoa mpk reference,na nukuu mbalimbali ndio anauliza swali unaona kazi huyu ana taaluma
Yaani vile vichwa vimekutana nakumbuka babie clouds360 muda mwingi alikiwa anaongea yeye tuNdio,
Kuna sikua walimualika Bi Particia Hillary nikafurahi kumuona, kwa ujuaji wao tukakosa kusikia mengi kutoka kwa mkongwe yule, wanauliza maswali kabla hajajibu wamejibu ikabidi Mama wa watu awe mpole tu, maana yeye anaongea taratibu wao wanaongea kama cherehani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,
Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
Ni much know sana yule mama,Yaani vile vichwa vimekutana nakumbuka babie clouds360 muda mwingi alikiwa anaongea yeye tu
Halafu nilipenda Kuna siku walikuwa wanamuhoji zuhura yunusi,akasema sisi BBC hutakiwi kuchanganya lugha kama ni kiswahili basi nyooka nacho hicho usiingizie maneno ya kiingereza
Maana babie haipiti dk hajaingizia neno la kiingereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Daktari umefika mbali .[emoji3]Ni much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi