[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nawe huelewagi vaa yake anajikuta Mama AfricaNi much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Baby ujuaji mwingi kuna wakati wanajisahau ni kama wanakua wanapiga storyWana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,
Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
[emoji3]Mara ya kwanza kumsikia huyu Dada ni kwenye ile ngoma ya Mwana FA.. 'unanitega'... Alipewa ka autro kule mwishoni..
Aisee nijua ni bonge la mtoto.. loh! Contrary..
[emoji3][emoji3]nakumbuka siku ile picha ninayoNi much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Utani unazidi sana hapo nakubali hasa kipindi Cha jahazKuna siku nilimuona TCRA pale,..Live anaonekana angalau mzuri kuliko akiwa kwny tv,
Kwa Watangazaji wa kike wana0jua kufanyia watu mahojiano nadhani Salama Jabar is the best!
Tatizo Clouds utani mwingi na mazoea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu ana kuonaNi much know sana yule mama,
Nimependa Zuhura alivyowakosoa kiheshima,
Babie anajikuta Mmarekani na ongea yake haraka haraka yenye kelele,
Ila jamani sijawahi kuelewa dress codes za Babie, kuna siku alituvalia mblauzi mrefu, bwanga na raba nilicheka hadi machozi
Nafkri muktadha umekaa hivyoBaby ujuaji mwingi kuna wakati wanajisahau ni kama wanakua wanapiga story
Thithi tunamjua Barbara wa ze Animals🦁Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo
Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
Hahahaha nakuombea wakualike utusaidie kufikisha maduku duku yetuDaktari umefika mbali .[emoji3]
Ila ukweli na mimi ananichekesha sana [emoji85]
Kwenye ile namba yao kila siku natuma meseji wanialike wananipa ahadi tu ila siku wakinialika nataka nikawaeleze kuwa wanazingua japo kipindi kingekuwa kizuri kama wangeacha utoto wao .
Hapana kwa kweli atafute tu dizaina kama vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nawe huelewagi vaa yake anajikuta Mama Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishee nicheke tena [emoji1787][emoji3][emoji3]nakumbuka siku ile picha ninayo
Siku ukiona kuna mgeni anawapopoa alafu watamtimua kwenye kipindi basi usijiulize nitakuwa mimi maana najua kwa nilivyojipanga lazima wamuite Aly kashimiri na Haris wanitoe nje .Hahahaha nakuombea wakualike utusaidie kufikisha maduku duku yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Siku ukiona kuna mgeni anawapopoa alafu watamtimua kwenye kipindi basi usijiulize nitakuwa mimi maana najua kwa nilivyojipanga lazima wamuite Aly kashimiri na Haris wanitoe nje .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ukiona kuna mgeni anawapopoa alafu watamtimua kwenye kipindi basi usijiulize nitakuwa mimi maana najua kwa nilivyojipanga lazima wamuite Aly kashimiri na Haris wanitoe nje .
Usijali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aminia kikubwa ujumbe utakua umewafikia na ukitaka ulinzi niite [emoji123]
hahahahahaha, anakaa kwenye ncha ya sofaHuwa amekaa kama anataka kuondoka