Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,

Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
Kama Jana huyo bby kambully mgeni Sana Hadi kero yaani,,yaani Ni Kama yeye ndio mgeni anaboa yaani
 
Babra Ile kuwakatia majani wenzake hewani ni utani tu jamani..wa kusisimua vipindi sio mtangazaji unakuwa seriuoooos kama mtoa majibu ya UKIMWI... Wale wa...mpendwa msikilizaji hebu tupate ujumbe mfupi hahaaaa mie namuelewa sana sana Babra haboi na hapoi ..
 
Babra Ile kuwakatia majani wenzake hewani ni utani tu jamani..wa kusisimua vipindi sio mtangazaji unakuwa seriuoooos kama mtoa majibu ya UKIMWI... Wale wa...mpendwa msikilizaji hebu tupate ujumbe mfupi hahaaaa mie namuelewa sana sana Babra haboi na hapoi ..
Yuko wap
 
Kuna yule dogo wa wasafi TV kipindi cha msumari wa moto asee anajua kufanya interviews balaa

Anatoa mpk reference,na nukuu mbalimbali ndio anauliza swali unaona kazi huyu ana taaluma
Kinakuwagq saa ngapi? Juma ngapi na mimi nifuatilie
 
Kuna siku nilikua naangalia kipindi cha sport cha EATV, mtangazaji aliwaalika wachambuzi wawili aise jamaa mmoja alikua anataka kuongea peke yake na kuwatoa ufahamu wenzie kua hawajui kitu, ilikua kazi kwa mtangazaji kumkatisha ili na mwenzie azungumze, mwenzie akiongea kidogo kishamkatisha anaongea yeye tu, nilikasirika ile siku na TV nikaizima,

Nakubaliana na wewe kuhusu kukosa utulivu wa akili.
Vipindi vyote vya michezo ea radio jamaa Wana wachambuzi wanapiga kelele vibaya
 
Back
Top Bottom