Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

Last Chance, naukumbuka sana huo wimbo, japo nilikuwa mdogo
 
Enzi hizo wcb walikuwa bado wananyonya nyimbo za kiboya zinabamba disco Toto Kuku kapanda baskeli,dandu kurekod mamtoni anaonekana matawi,enzi zimebadilika siku mtoni ni km chooni tu kutwa Mara Tatu.
hahahah
 
Na yule Jamaa aloimba "masawe alikuwepo, daud alikuwepo, na huyu mtoto wa hapa nyuma nani huyu,naye alikuwepo.
Yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…