Yupo wapi Cyprian Musiba?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti wiki anakuja na nondo hatari.

Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
 
Kamanda Musiba yupo sana tu. Baada ya uchaguzi alisema amemaliza kazi yake ya kuwasambaratisha wapingaji kwahiyo amepumzika.
 
Utamsikia tena wakati wa kubadilisha katiba na ‘mzee’ kungezewa saba tena.
Lakini mbona bado yupo na harakati zake, juzi nimemsikia katika Youtube akihojiwa na mwandishi wake (Tanzanite journalist) kuhusu Corona iliyompata Maalim Seif, akisema kwamba Maalim hakuwa/hana Corona bali kajidai kuwa anayo Corona----, na akadai kuwa baadaye atatoa taarifa hiyo kwa kina.
 
Nilimsikia na Pia anafahamu kuwa jina lake ni la pili katika wasafiri wa kwenda ICC.

Hivi ni nani alithibitisha kuwa Maalim ana covid wakati maabara zetu hata mapapai yanaonekana yana maambukizi ya covid?

Nilichogundua ni kuwa, Maalim yuko katika nafasi ya hatari sana. Anafanya kazi na watu wasiompenda wala kumuamini.
 
Jamaa kawatukana makada waandamizi wa CCM wee akidhani atakumbukwa kwenye uteuzi...ziii ...sasa hivi anapambana na hali yake na kile kigazeti chake cha matusi na umbeya haiuziki tena - hali ni mbaya!!
 
Utamsikia tena wakati wa kubadilisha katiba na ‘mzee’ kuongezewa saba tena.
Acha chuki binafsi we mlevi, utakufa kabla ya wakt wako, mpe mmeo haki yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kusengenyana na wanaume NYAMBAFU WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…