Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.
Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli
Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?
Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.