Yupo wapi Cyprian Musiba?

Yupo wapi Cyprian Musiba?

Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.

Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli

Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?

Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
 
Mjane wa Membe anakazia hukumu......lazima ajifiche...da kweli amelaaniwa......sio kwa jeuri ile....
 
Yupo bize anatafuta mabilioni kulipa fidia baada ya kushindwa kesi huko Zanzibar [emoji16]
 
Mjane wa Membe anakazia hukumu......lazima ajifiche...da kweli amelaaniwa......sio kwa jeuri ile....
Ile jeuri aliyokuwa nayo kipindi cha Jiwe naona sasa imemgeka na kuishi kama Nguchiro
 
Nadhani atakuwa yupo nyumbani kwao Jimbo la MWIBARA Kijiji Cha isanju anavua sangara alipe deni la membe
 
Kweli ishi na watu vizuri ujiwekee kesho yako njema
 
Alitetemeshwa Sana Kudaiwa Billion 1 Na Marehemu NIGUSE NINUKE
Akakaa Kimya Mpaka Sasa
 
Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.

Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli

Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?

Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
Kwisha habari yake.
Lile shetani la Chato lilimharibu sana
 
Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.

Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli

Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?

Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.

uzi una saa1:08 michango hata 10 haifiki

Tafakari
 
Aliachana Na mke wake..akafunga ndoa yupo Dodoma amejificha

Mke Wa kwanza aliyekuwa naye. Enzo za JPm alimkimbiA..mwaka 2022 akiwa Dodoma alipata mwanamke akafunga ndoa

Mke Wa Kwanza alidai hawezi ishi Na mwanaume Jina mbeya
 
Kumbe jamaa jogoo hapandi mtungi?
 
Mpaka sasa chawa hawajifunzi yaliyompata chawa mwenzao Musiba.
 
Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti week anakuja na nondo hatari.

Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
Akihitajika kurudi kazini utamuona tu.

"Once a system always a system" - Courtesy; Zomba.
 
Back
Top Bottom