Mjane wa Membe anakazia hukumu......lazima ajifiche...da kweli amelaaniwa......sio kwa jeuri ile....Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.
Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli
Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?
Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
Yupo bize anatafuta mabilioni kulipa fidia baada ya kushindwa kesi huko Zanzibar [emoji16]Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.
Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli
Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?
Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
Ile jeuri aliyokuwa nayo kipindi cha Jiwe naona sasa imemgeka na kuishi kama NguchiroMjane wa Membe anakazia hukumu......lazima ajifiche...da kweli amelaaniwa......sio kwa jeuri ile....
Hayo mabilioni atayaiba wapi?Yupo bize anatafuta mabilioni kulipa fidia baada ya kushindwa kesi huko Zanzibar [emoji16]
Kweli ishi na watu vizuri ujiwekee kesho yako njemaNadhani atakuwa yupo nyumbani kwao Jimbo la MWIBARA Kijiji Cha isanju anavua sangara alipe deni la membe
Kwisha habari yake.Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.
Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli
Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?
Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
Tulimzoea sana kipindi kama hiki kujitokeza hadharani kumpongeza kiongozi wa nchi.
Sasa ni zaidi ya miaka 2 simuoni au kumsikia akiunguruma mitandaoni huku akitoa vitisho kwa wapinzani wa rais Magufuli
Yuko wapi Mwanaharakati shujaa aliyekuwa na uwezo wa kuwatukana watu bila ya kuhofia serikali?
Hili liwe ni fundisho kwetu sote kuwa kuishi na watu vizuri ni hazina ya baadae.
Kumbe jamaa jogoo hapandi mtungi?Aliachana Na mke wake..akafunga ndoa yupo Dodoma amejificha
Mke Wa kwanza aliyekuwa naye. Enzo za JPm alimkimbiA..mwaka 2022 akiwa Dodoma alipata mwanamke akafunga ndoa
Mke Wa Kwanza alidai hawezi ishi Na mwanaume Jina mbeya
Tayari umechangiauzi una saa1:08 michango hata 10 haifiki
Tafakari
Hili liwe fundisho kwa watu wanaotaka maisha ya mkatouzi una saa1:08 michango hata 10 haifiki
Tafakari
Bado kakaliwa kooni na shangazi wa taifaAlitetemeshwa Sana Kudaiwa Billion 1 Na Marehemu NIGUSE NINUKE
Akakaa Kimya Mpaka Sasa
Akihitajika kurudi kazini utamuona tu.Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti week anakuja na nondo hatari.
Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?