Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Hakuna nchi iliyo anza ulimwengu wa kwanza moja kwa moja
 

Fake news! Aliyekuhadithia alikuoiga kamba, hapo halikuwa suala la taxi driver!
 
Vijana mnalumbana humu, mnaleta vihistoria na njama nyingi sanaa na bado mnashindwa kufanya utafiti na kujibu swali la msingi la mada hii

Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?​


So far mpaka nilipofikia kusoma jibu limetolewa na mwanahudhur mmoja
Baada ya tukio hilo, alibadili kazi na kuanzisha biashara yake mwenyewe. Alikufa mwaka 2009 akiwa na umri wa miaka 61.

Mjaribu kuwa wadadisi na wadadvuaji wazuri wa Historia ya Nchi yenu badala ya kuja na vijimaneno kwa kikasuku kasuku.
 
Kumbe wewe ni mjomba wetu kabisa....duuuh hiyo si ilikuwa 1982?!!
Mama zetu walikuwa vigoli...binafsi nimeyasoma katika magazeti haswa la RAI.,.
Mwongo huyo alikua hata hajazaliwa au yuko Lindi huko na kaputula imetoboka.
Hio ipo kwenye vitabu mission yote mpk ilipobumburuka.
Hakuwepo dar wala hapajui,kasema alikua katumba bar wakati hao jamaa wanafanya yao.
Katumba bar haikuwepo maana nilikuwepo siku inazinduliwa rasmi.
 
Kwanini unasema ni mwongo?!!![emoji15][emoji15]
 
Field Marsha komandoo Tamimu akapigwa na Komandoo Mabere Marando mlenga shabaha long live Mabere Marando
Dunia yote ililaani hiki kitendo....kimsingi hawauliwi na wanyumbani ni mwiko.
N.B.
NI GHARAMA SANA KUPATA MTU WA AINA HIYO.
 
Sisi wa zamani Dar, tunamkumbuka jamaa mmoja mrefu hivi alikuwa anatembeza magazeti
Jamaa alikuwa ni yuko rough kuanzia nguo zake na kofia lake, lakini alikuwa anauza mpaka magazeti ya Kenya Daily Nation na Taifa Leo, la siku hiyo hiyo.
Tulikuwa tukisikia wazee wa vijiweni wakisema yule ni wa mfumo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…