Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hakuna nchi iliyo anza ulimwengu wa kwanza moja kwa mojaHapo unalinganisha nchi za ulimwengu wa kwanza dhidi ya nchi moja masikini iliyosubiri COVID 19 itokee ikapeleka data ipewe hela za kujenga vyoo.
Unaanzaje kuliganisha nchi isiyo hata na uwezo wa kujitosheleza kuhifadhi kiyesi chake bali mpaka ugonjwa uibuke duniani na wazungu watoe hela za pole dhidi ya nchi kama Marekani