Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.

Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?

Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahindi na yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe; akamjengea tawi la benki ambalo baada ya klfo chake ilibidi lifungwe kwa kukosa biashara na sasa limekuwa klabu huko Chattle!!! Watu wenye tabia ya uchawa ni hatari kwa maendeleo ya nchi.

Muacheni akae huko kwao Moshi na uBunge wake wa kuhongwa na Jiwe!
 
Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahind ina yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe...
Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.

Chato ni hasara kwenye sekta nyingi sana.
 
Kimei ni kielelezo cha waafrica na watanzania wenye tamaa na uchu wa madaraka. Mpaka leo sielewi alienda kutafuta nini kwenye ubunge…..
Kwakweli mchango wake bungeni hauonekani.
 
Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.

Chato ni hasara kwenye sekta nyingi sana.

Benki mikopo mikubwa yote lazima ipate idhini ya Managing Director kwani yeye ndio anayeipeleka kwenye board kuidhinishwa!!
 
Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.

Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
CCM wabaya Sana yani walimdanganya licha ya usomi wake eti watampatia uwazir wa fedha hata yeye mwenyewe alikuwa na uhakika lakini hatasahau. Kilichomwaribia jamaa ni kabila lake.

Huoni hata Muro alisema hadharani anashangaa imekuwaje hadi kachaguliwa kuwa DC. Mkenda kilimo na hadi elimu kawekwa tu eti kuwe na balance.
 
Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahindi na yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe; akamjengea tawi la benki ambalo baada ya klfo chake ilibidi lifungwe kwa kukosa biashara na sasa limekuwa klabu huko Chattle!!! Watu wenye tabia ya uchawa ni hatari kwa maendeleo ya nchi.

Muacheni akae huko kwao Moshi na uBunge wake wa kuhongwa na Jiwe!
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman
 
He miscalculated akidhani angepata kuwa waziri wa fedha na akasahau kuwa wananchi bado wanakumbuka ufisadi aliofanya ndugu yake Mramba mpaka akafungwa!!
Hivi kumbe mambo haya bado yana apply nchini?
 
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman

Huyu ndio alikuwa chombo kilichotumiwa na makampuni ya kifisadi kuiba fedha toka BOT enzi ya Kikwete!!! Unataka tumpe respect mshirika wa kufisadi nchi yetu? Come on be serious! If anything he is a criminal who should be in jail.
 
Back
Top Bottom